the university of Dodoma now is looking like this...
Na hapa ni baadhi tu ya sehemu..Aiseee huu Mchuo ni wa ukweli balaa
asikuambie mtu unaweza ukatembea siku nzima lakini usipamaliza haki ya mungu nakuambia
Of course tunajivunia kuwa na chuo kikubwa and NUMBER one in EAST AFRICA and the MIddle EAST
BIG UP JAKAYA KiKWETE..usishangae ye ndo master mind wa hii issue!
0 comments:
Post a Comment