Friday, April 23, 2010

THATS WHY I HATE SOME GRAPHITS


Sa jamani ndo mpaka Jikono aaaa!

MAAJABU LAKINI NDO KWELI



Thursday, April 22, 2010

HAAAAA JAMANI


Sasa sijui wamepandaje pandaje hapo kwakweli

Sunday, April 4, 2010

BIBI AMEPOTEA


Bibi unaemuona hapo juu amepotea tangu wiki iliyo pita maeneo ya uhindini huko upanga mjini Dar-es-salaam, Tafadhari atakaye muona bibi huyo atoe taarifa kituo chochote cha cha huduma ya afya.

USISHANGAE SANA HII NI KWELI


Hapo bado sometime huwa anayaweka mfukoni kabisa

WANAHITAJI MSAADA WENU SANA


Wakina dada hawa warembo wanahitaji msaada wenu wa hali na mali ili waweze wakafanyiwe upasuaji..sababu wameungana vibaya kiasi kwamba mahitaji yao ya kila siku wana shindwa kutimiza.

ANATAFUTA MUME!


Nilikutana na huyu dada maeneo ya posta akinunua mahitaji yake ya kila siku..akaniomba nimsaidie kumtafutia mume wa kumuoa..jamani washkaji jitokezeni basi..mbona mnakua hivyooo!